Kwa mujibu wa Daily Mail, mrembo anayeweza kuwa na uhusiano na Cristiano Ronaldo kwa sasa ni Alessia Tedeschi, muigizaji na mlimbwende wa Italia.
Huyu ndio mrembo anayedaiwa kuwa na uhusiano na Cristiano Ronaldo

Post a Comment