1.Kusikilizwa
2.Kuheshimika
Mwanamke naye anastaili kuheshimika. Kuheshimika katika mapenzi sio maana yake kujishusha bali ni kuonyesha unatumbua uwepo wake katika maisha yako, Kutotambua uwepo wake juu yako kunaweza kukufanya mahusiano yasisonge mbele.3. Kuthaminiwa
Thamani ya mwanamke kwa mwanaume ni kubwa kuliko hata chakula , utambuaji wa thamani ya mwanamke ni kitu muhimu sana na kinaweza kumfanya mwanamke kujihisi ni wa pekee katika maisha ya mwaume na pia kukuona mwaunaume ni wa kipekee, siku zote mwanamke humkumbuka mwanaume na kutamani kuwa naye tena si kwa sababu ngono bali ni thamani ambayo alikuwa akiiona pindi alipokuwa kwako
4. Sifa
Mwanamke ni pambo kwa mwanaume nikimaanisha mwanaume hawezi kupendeza isipokuwa nyuma yake kuna mwanamke bora na mzuri. Hakuna mwanamke mbaya dunia hii mbele za macho ya wanaume ila kuna uwezekano wa kuwa na mwanamke asiyefaa mbele ya macho ya mwanaume. Unapomsifia mwanamke unamfanya naye ajione ya kuwa ni mwenye thamani kubwa sana na kumfanya akupende daima5. Kumjali
Wanaume wengi wanashindwa kudumu na wanawake wengi kwa kutojali. Kumjali mwanamke sio kumpa pesa bali na kuwa naye karibu sana katika kipindi cha matatizo yake na yako wakati wa mahusiano yenu. Kuwa kinyume na hili ni kuweka ufa katika mahusiano yenu6. Kutambua nini anachopenda na kutimiza kama inawezekana
Unatakiwa utambue mwanamke anapenda nini na kutimiza kama inawezekana. Kuna wanawake hawapendi sana SEX, na we unatakiwa kushusha presha katika hilo na kuanza kuvuta hisia zake taratibu maana mwanamke hapendi bugudha, wengine wanapenda SEX nawe unatakiwa kuonyesha uwezo wa kutosha hapo, wengine wanapenda utani, inatakiwa umsome na umwelewe7. Kurekebishwa
Mwanamke naye anakosea na akikosea anahitaji umrekebishe na sio kumpotezea. Kurekebisha maisha ya mwanamke ni kitu kizuri sana kwani kinajenga mahusiano mazuri baina ya wewe na wanaokuzunguka.8. Kukosorewa
Sio kila analofanya mwanamke ni jema muda wote, kwa kuwa sisi ni binamu tunakosea na kufosi vitu visivyowezekana na vingine vya kipuuzi. Unatakiwa ukemee na usikae kimya na ikibidi umpe mrejesho juu ya maisha.9. Kutojivika sifa usizostaili
Usipende kujikweza kwa kujifanya wew una pesa sana au unauwezo sana. Wanawake asilimia mia ya wanaojielewa wanampenda mwanaume ambaye hana mambo mengi sana au ambaye hapendi kujionyesha yeye ni nani, usiwe na sifa za kijinga10. Utanashati
Utanashati haimaanishi ni mavazi tu, mwilini mwako na nafsini mwako mwanamkea) Mavazi- Kutokuwa na tabia mbaya bali uwe na tabia nzuri
b) Mwilini- kutokuwa na michepuko
c) Nafsini- kutokukata tamaa katika mambo yanayokukabili
Post a Comment